Sunday, February 14, 2010

LET US LOVE EACH OTHER

Mwayaya moja kutoka Kigoma. Nawakaribisha wote watakao penda kuwasiliana nami through my blog. Vilevile nakaribisha current news fron outsid e and withi my country. I'm a degree holder from the university of Arusha.

5 comments:

  1. Karibu sana kwenye ulimwengu wa kublog!!na nafurahi kuwa wa kwanza kutoa maoni.

    ReplyDelete
  2. It is true to what is happening in tanzania as a drama. Magufuri ninamwonea huruma hivi hii ni kweli? itabidi wadau wote tusaidizane.

    ReplyDelete
  3. Tarehe 24/03/2011 the birth day of my daughter. Venue will be Fikiria kwanza academy hall, at 5pm . you're all welcome.

    ReplyDelete
  4. Tarehe 25/2011 msiba mkubwa jirani yangu anaitwa Dyarigabho amefarikidunia hivyo wote tunaomboleza.Ni mtumishi wa serikali ambaye alikuwa mtunza msitu wa kijiji cha Mwayaya Manyovu Kigoma.

    Tuiombee roho yake kwa Mungu.

    Goodluck Kimali Alphonce

    ReplyDelete
  5. TWASHUKURUU KWA KUTUKARIBISHA NA WEWE KARIBU KWETU.TUPO PAMOJA

    ReplyDelete